..kwa wale walomalza UDSm June 2012 ,graduatiön date imerudishwa nyuma hadi 27th October (cluster A-Postgraduate,CASS na Law) othr courzes ni 3rd Nov 2012 (coet,conas,Udbs etc)
Nawashauri kwa wale wasio kuwa na deni lolote wapewe vyeti kabisa kama vyuo vingine wanavyo fanya baadala ya kusubiri mwaka mmoja upite kwani huo ni usumbufu na HAKUNA sababu ya msingi kufanya hivyo.
Swala hapa si eneo au mahali panapo tengenezwa.Bali ni muda uwe mfupi ili wahusika waweze kuvitumia pale vinapohitajika waathirika wa hili wanaelewa nasema nini.