Grammy Awards jana 13/feb 2010

Yo Yo

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2008
Posts
11,210
Reaction score
1,720
Wabongo bana....masikio yenu yalikuwa Simba na Yanga....muwe mnaangalia na ukwelini majuu kuna nini....
Jana ndio ilikuwa Grammy awards....kule LA majuu....

Mchizi wangu Marshall Mathers kabeba za kutosha...
 
Great Thinker at work....daktari dre na Eminem....
 
mhh bora simba hivi yanga si imeshuka daraja au:laugh: ni utuuzima awa au,maana jamaa katulia sana siku hizi
 
Dah thanx.... nakumbuka keep their head ringing ya dr. dre!!! Pamoja sana Yo Yo!!
 
huyu shori lady gaga ana kiuno bomba sana.....tatizo lake brenda
 
Best Rap Song-----Empire State Of Mind jay zz feat Alicia keys
Best Rap Album----Recovery ya Eminem
 
Dah thanx.... nakumbuka keep their head ringing ya dr. dre!!! Pamoja sana Yo Yo!!
Unakumbuka kwenye album wakati ule THE CHRONIC ya mtu mzima Dr Dree ndani kulikuwa na track kama Rat-Tat-Tat-Tat
 
Unakumbuka kwenye album wakati ule THE CHRONIC ya mtu mzima Dr Dree ndani kulikuwa na track kama Rat-Tat-Tat-Tat

Yo yo plz ntumie hiyo Album ya Dre 'The Chronic' na Nate Dog kyoyote kama unayo kaka naku-Pm nikupe Email address yangu!!
 
huyu shori lady gaga ana kiuno bomba sana.....tatizo lake brenda

huwaga watamu sana hawa ila zima uwe makini wakati wa kumla hauvui boxer maana uanaweza kustukia kidole chake kimezama pasipo husika.
 
Teh teh teh teh teh teh ............................................. najaribu kujenga picha naona haijengeki kabisa!!!!
 
brenda gaga akiingia kudadadeki lol
 
Teh teh teh teh teh teh ............................................. najaribu kujenga picha naona haijengeki kabisa!!!!
wapi tena kamanda?

juzi nilimuona nick minaji wa bongo bwaha ahahahaha....ana swagga kama nicki...nilicheka sana
 
huwaga watamu sana hawa ila zima uwe makini wakati wa kumla hauvui boxer maana uanaweza kustukia kidole chake kimezama pasipo husika.

mhmmmm kumbe hilo jina brenda kimeo...
 
Abdulhalim najua anasubiri itoke kwenye torrents adownload...mpemba kwa dezo yule....
 
Dah yaani nilihuzunika sana nilipojaribu kufikiria nominees categories, stage setting, coverage,artist performance,artist wardrobe fashion na mengineyo mengi tu na tuzo zetu za kili.Lakini ukiuliza utaambiwa hatuna technology na funds kumbe jamaa wanamiss locate resources na wasanii wanachukulia poa.:A S 20::sick:
 
hv yo yo ukiacha dre na gaga nani mwingine alipeform.........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…