Car4Sale Grand mark II for sell

huwezi uza hii gari zaidi ya mil 7, huo ndo ukweli!
 
Hebu ongeza"patikyulas" nyingine km:- ni la mwaka gani, owner wangapi, limekwenda km ngapi, kama lilishawahi kupata ajali n.k.
 
Hebu ongeza"patikyulas" nyingine km:- ni la mwaka gani, owner wangapi, limekwenda km ngapi, kama lilishawahi kupata ajali n.k.

Owner mmoja,haijawahi pata ajali,gari bado nzima vibali viko sawa kbs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…