Graphic card inahitajika

Graphic card inahitajika

Mr Kazembe

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2019
Posts
386
Reaction score
514
NAHITAJI Graphic card ya low profile NAMANISHA INAYO FITI KWENYE MASHINE YA KULALA NIPE BEI NUMBER YAKO...
NB: ISIWE CHINI YA 1 GB
1586283703247.png
1586283703247.png
1586283736589.png
 
Nilienda kutafuta za 4gb kariakoo wanasema ni nadra kuzipata
 
Gpu zipo nyingi used aliexpress, na 4gb sio lazima iwe na nguvu kuna gpu zina vram 2gb zina nguvu kushinda zenye 4gb ama 8gb.

Pia kupatana mara kwa mara zipo gpu nzuri tu watu wanauza sema nyingi zinataka umeme kutoka kwenye psu (zaidi ya watts 75) hivyo kama una psu nzuri unaweza angalia.
Nvidia | Kupatana
 
Hapo umenipa akili mkuu,
 
Back
Top Bottom