Gpu zipo nyingi used aliexpress, na 4gb sio lazima iwe na nguvu kuna gpu zina vram 2gb zina nguvu kushinda zenye 4gb ama 8gb.
Pia kupatana mara kwa mara zipo gpu nzuri tu watu wanauza sema nyingi zinataka umeme kutoka kwenye psu (zaidi ya watts 75) hivyo kama una psu nzuri unaweza angalia.
Nvidia | Kupatana