S saruni Member Joined May 5, 2010 Posts 5 Reaction score 0 Oct 10, 2011 #1 natafuta graphic designer mwenye uzoefu na viwanda vya printing. wasiliana na no. 0652 046 289.
CR wa PROB Senior Member Joined Sep 21, 2011 Posts 170 Reaction score 29 Oct 10, 2011 #2 Awe na level gani ya Elimu?
Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member Joined Aug 9, 2007 Posts 18,772 Reaction score 8,939 Oct 10, 2011 #3 part time/ full time? ni pm kama ni part time!
peri JF-Expert Member Joined Mar 22, 2011 Posts 2,579 Reaction score 1,164 Oct 10, 2011 #4 Yupo mwenye uzoefu wa miaka 4 kwenye magazeti na magazine. Part time inakubalika?
S saruni Member Joined May 5, 2010 Posts 5 Reaction score 0 Oct 11, 2011 Thread starter #5 sio part time, anatakiwa aajiriwe full time, sio lazima uzoefu mwingi lakini walau kidogo kwenye printing factory
sio part time, anatakiwa aajiriwe full time, sio lazima uzoefu mwingi lakini walau kidogo kwenye printing factory
S saruni Member Joined May 5, 2010 Posts 5 Reaction score 0 Oct 11, 2011 Thread starter #6 elimu kuanzia certificate