Graphic Designer Needed

saruni

Member
Joined
May 5, 2010
Posts
5
Reaction score
0
natafuta graphic designer mwenye uzoefu na viwanda vya printing.
wasiliana na no. 0652 046 289.
 
Yupo mwenye uzoefu wa miaka 4 kwenye magazeti na magazine. Part time inakubalika?
 
sio part time, anatakiwa aajiriwe full time, sio lazima uzoefu mwingi lakini walau kidogo kwenye printing factory
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…