Kama una ww si target acha kuuliza maswali ya kijinga . Ndio maana Kuna watu wanasomea marketing na wengine wako vizuri bila kusomea . There all needed in company. Kwann sasa those who do marketing wasifanye marketing ya bidhaa zao wenyewe instead wako employed. So don't interfere people's businessSasa mtu akiweza kutafuta masoko kwako afuate nini?
Kuna mtu mwenye uwezo wa masoko halafu anataka kuajiliwa kwa hizo laki tatu?
Kubwa apo anaitajika mtu wa marketing mwenye skills za design pia . Kama ww una uhitajiii Kaa kimwa Mzee acha ku interrupt Kaz za watuUtapata layman kwenye graphics,utafute learner jobless ndio atakubali kazi hiyo. Yaani graphic na afanye marketing?kweli? Kweli? Haupo serious.
Sema watu wandharau Sana graphics design mpaka siku akiwa na shida ya professional graphic design ndio ukiambiwa bei unashangaa
Bado unamtafuta..kuna mtu anahitaji