babu onyango
JF-Expert Member
- Jan 12, 2023
- 378
- 984
Wale jamaa ni kisanga yan🙌Ukijaribu kufatilia contents za matukio mbalimbali pamoja na utambulisho wa wachezaji wa Yanga Afrika miaka ya hivi karibuni, Basi utagundua kuna ubunifu wa hali ya juu sana
Idara ya kidigitali ya Yanga ipo very smart kwenye uwasilishaji wa matukio yao.
Sio ajabu klabu ya Tp Mazembe walikuja kuchota maarifa kwa Yanga Afrika..
Niwashauri watani zangu wa Simba walifanyie kazi hili ili contents zao na zenyewe ziwe na mvuto hasa upande wa kutangaza wachezaji mpya