Kwa mahitaji ya ku-design logo, banners (mabango), head letters, business cards, posters, fliers, screen-printing artworks, calenders, button badges, na kazi nyinginezo zihusianazo na graphic designing wasiliana nami.
lol, mkuu unatakiwa uelewe kwanza idea yangu ilikuwa nini, sikuacha uchafu wowote hapo na sijawahi kuacha uchafu kwenye target yoyote ninapokua naondoa background, hiyo ni outer glow ya makusudi kabisa upande wake wa kushoto. unaposema sikuzi-merge vizuri, eleza how. mwisho wa siku ni jinsi vile mteja anavyotaka. elmagnifico