GRAPHIC-PICTURES: Hezbollah waliogaragazwa huko Lebanon !!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Magaidi wa Hezboullah huko Lebanon toka jana na leo wamegaragazwa vibaya sana, wengi wa makamanda wao wameuwawa pamoja na wapiganaji wao.

Picha hizi ni baadhi tu ya makamanda wao waliouliwa walipokuwa wakijaribu kutoroka mkono mrefu wa Majeshi ya Israel!!!
 

Attachments

  • IMG_20260410_211059_919.jpg
    247.4 KB · Views: 17
  • IMG_20260410_211059_436.jpg
    405.2 KB · Views: 18
  • IMG_20260410_211059_869.jpg
    412.2 KB · Views: 17
  • IMG_20260410_211059_389.jpg
    356.4 KB · Views: 16
  • IMG_20260410_211059_470.jpg
    328.4 KB · Views: 19
  • IMG_20260410_211059_035.jpg
    397.7 KB · Views: 17
  • IMG_20260410_211059_407.jpg
    289.4 KB · Views: 18
Next time anza na Warning kuhusu hizi pictures, zinasikitisha na kutisha
 
wanaua raia masikini!
 
mbona wanaua raia wasio na hatia!
 
Unajuaje kuwa hao ni hezbollah?
 
mbona wanaua raia wasio na hatia!
Nani anakudanganya kuwa hao ni raia? Hao ni askari.

Hata hivyo vita hii walianzisha wenyewe walikuwa wana wahurumia magaidi wenzao wa huko Iran!!

Cha kushangaza waliokuwa wanawagurumia wakakubali ceasefire wakaacha kupigwa. Kipondo kikahamia kwao na sasa wanajuta kuzaliwa mbwa hao!!
 
Hizo picture mbona ni watatu tu unawarudishia ili tuseme wameuliwa wengi. Kwanza hao inawezekana wakawa sio Hezbullah sababu mimi sijawahi kuona Hezbullah wanavaa vile haya tuchukulie ni Hezbullah mmeuwa watatu ndio mnajisifia mbona Israel wanauliwa wengi mnaficha.
 
Picha zinatisha.
Uzuri Magaidi wa Hezboullah waliyataka wenyewe!!

Nafikiri walikuwa na hamu ya kwenda kupewa wale Mabikira 72 na naamini sasa wako mzigoni kuwabikiri hao mabikira!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…