GRAPHIC-PICTURES: Hezbollah waliogaragazwa huko Lebanon !!

Kwanza poleni sana kwa misiba lukuki mliyoipata kuanzia jana tunasubiri tu mtuambia mnasafirisha au mnazika hapa hapa?

Kwa Marehemu Gaidi Ayatollah Ali Khamenei hamkutuambia mmezika au bado?
 
Kikao walifanyia nje!?
Usikurupuke soma vizuri hao ni wale waliokuwa wanatoroka kutoka eneo la tukio!!

Nichukue tu nafasi hii kukupa pole kwa vifo lukuki vilivyotekea kwa Hezbollah jana na leo na tunaamini sasa hivi huko waliko wako busy na kubikiri wale mabikira waliodanganywa kuwa wakifa wataenda kupewa!!
 
Aisee... wamechachakazika haswa!
Uzuri hii vita waliianzisha wao wenyewe na kuna Bumunda moja liliniambia kuwa magaidi wa Hezboullah hawaogopi kufa na wana hamu ya kwenda kupata wale Mabikira 72 walioahidiwa na mzee Mudy
 
Kwanza poleni sana kwa misiba lukuki mliyoipata kuanzia jana tunasubiri tu mtuambia mnasafirisha au mnazika hapa hapa?

Kwa Marehemu Gaidi Ayatollah Ali Khamenei hamkutuambia mmezika au bado?
Ayatollah Ali Khomen kwa tarifa yako alipewa infomation aondoke kwenye nyumba kuna hatari ya kuuliwa na USA na Israel akasema Al Hussein hakuogopa kufa na mimi ni mjukuu wa Al Hussein siwezi kuogopa kufa


View: https://youtu.be/lsvXy5jaNdg?si=dEDoUZGhb1yup5td
 
Samahani naomba history ya Hezbollah. Ni akina nani, raia wa wapi, walianza lini? Kwamini walianza ugaidi? Wanapewa nani makómnora, siraja for that matter, wana uhusiano gani na Lebanon? waliingiaje Lebanon? etc etc
 
Mbona hao ni raia?
 
Uzuri Magaidi wa Hezboullah waliyataka wenyewe!!

Nafikiri walikuwa na hamu ya kwenda kupewa wale Mabikira 72 na naamini sasa wako mzigoni kuwabikiri hao mabikira!!
Hapo gaidi yuko wapi mbona media zina report ni raia tu
 
Hao ni raia punguza upotoshaji, au umeshamiss kupigwa Ban kwa upotoshaji?
 
Nimekuonesha uwongo wako siyo!?..hizo picha ni nje, wengine kuna coils za nyaya,mtu anatoroka vipi na rundo la coils za nyaya!?.jamaa zako wameua tu raia Ili kufidia mkong'oto waliopewa na hizbullah,vifaru zaidi ya 200 chali, askari wa kutosha wamelamba mchanga, wengine wamerudishwa nyumbani wamechanganyikiwa,wakajiua
 
Ndivyo mnavyodanganyana kwenye Masjid-Ubwabwa?

Kama hayo unayoyasema ni kweli lete hapa hiyo Source tuone kama kweli Gaidi Ayatollah alitaarifiwa!!.

Kwanza siku hiyo IRGC walikuwa hawajui nini kitatokea sasa yametokea mnafanya TAQIYYAH
 
Hao ni raia punguza upotoshaji, au umeshamiss kupigwa Ban kwa upotoshaji?
Wewe hujawahi kupigwa ban pamoja na kwamba wewe ni mpotoshaji mkuu hapa JF.

Kuna kipindi huwa tunahisi wewe una Baba yako humu ndiyo maana kila unapomchongea mtu lazima lazima apigwe ban
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…