Amani kwenu wadau!
Naomba msaada kwa yeyote anayeweza kunisaidia nkapata information ya sehemu nikaatend short course ktk graphic design. sehemu yoyote dar!
thanks!

Nenda Mikocheni pale Oilcom mbele ya Mayfair opp na TMJ hospital kuna chuo pale na mmoja wa waalimu wake ni mbunifu wa mavazi maarufu ndugu Alli Remtulla