The ice breaker
JF-Expert Member
- Apr 20, 2023
- 880
- 1,985
Mzee nimekusoma vizuri sanaJifunze zote kwa pamoja maana graphics design ni visual excution ya idea mbalimbali ilhali digital marketing ni zaidi kujifunza communications, strategies na tools mbali mbali za kurahisisha kazi ambazo nyingi zinaegemea katika graphics, photography and videography..
Chochote utachojifunza ni sawa japo graphic design ni nzuri zaidi maana ina wigo maana wa kutumika katika digital na traditional platforms. Mfano ukiweza graphics, unaweza tengeneza posters ,u brochures hadi kadi..
Noted.. kumbe digital marketing Haina kasheshe sanaDigital marketing - sifikirii Kama unahitaji kujifunza Ila jifunze graphic design na katika digital marketing tambua target audience mfano ukitaka kuuza cheap products Facebook ndo inafaa Ila ukitaka kuuza expensive product chagua Instagram
Persuasion skills
Hivi kwenye swala la AI kuna kujifunza? Si ni kuwa na App husika na kutumia!Graphic design ila usiache kujifunza AI (Artificial Intelligence) itakusaidia na kuokoa muda kwenye complex design.
In order to get familiar with it, you should learn good commands for better results. Remember AI it's a technology.Hivi kwenye swala la AI kuna kujifunza? Si ni kuwa na App husika na kutumia!