Nafikiri Zaidi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 516
- 684
Unataka Template au Mock-Up files??Kwanza nimpongeze mama Samia anaupiga mwingi watoto wa kizimkazi tuko nyuma yake [emoji3][emoji3]
Wakuu Poleni na Starehe.Aiseee hivi wapi naweza kupata free PSD template za Adobe Photoshop Free ukiachana na -FreePik
-Graphics Family
-Vectaezzy
Natanguliza Shukrani.[emoji1666][emoji120]
Templates mkuu mockups hizo Sina shida nazo kabisaUnataka Template au Mock-Up files??
Nyingi kule ni EPS files mkuuSwali la msingi. Shidayako ni Mockups au templates?
Maana PSD mostly ni mock-up, ukitaka template maana yake unajua ku design kila kitu. Tumia temps za Pinterest
Appreciate [emoji1666]Hint kama una tafuta vitu vya kuchakachua usitumie google, tumia Search engine nyengine hasa hasa Yandex.
Pinterest hakuna eps.Nyingi kule ni EPS files mkuu
Siwezi kujiita designer afu nigandamizie mkuu mara nyingi naangalia concepts and ideas tuuuPinterest hakuna eps.
Ni picha kama picha.
Kean ww ni designer au unagandamizia design za watu?