Graphics designer anahitajika haraka

Graphics designer anahitajika haraka

Manala An Academician

Senior Member
Joined
Oct 10, 2016
Posts
119
Reaction score
57
Sifa
Uwezo wa kuandaa matangazo ya video, animations, posters, banners, n.k

Moyo wa kufanya kazi ya kujitolea

Kituo cha kazi itakuwa Goba, Dar Es Salaam

Hata akitaka kufanyiakazi nyumbani kwake/kazini kwake ili Mradi malengo ya kampuni yatimizwe kwa- wakati

Mshahara ni TZS 300,000 kwa- mwezi

NB: Aliyetayari na anasifa, atume CV kwa- WhatsApp number 0765374146
 
Wewe kila siku unatafuta graphics designer mpaka Leo haujampata? Nadhani utakuwa na shida mahala
 
Wewe kila siku unatafuta graphics designer mpaka Leo haujampata? nadhani utakuwa na shida mahala

Wewe kila siku unatafuta graphics designer mpaka Leo haujampata? nadhani utakuwa na shida mahala
Tapeli huyo anachokifanya anakuajiri hakupi mkataba, anakufanyisha kazi bila malipo kama wiki moja au mbili Kisha anasema hajaridhika na utendaji wako wa kazi anakufukuza ghafla bila haki zako anatafuta mwingine halafu malipo anakulipa anavyoona yeye. Siyo laki tatu kama anavyosema, mimi nina ushahidi na kesi zake zipo wizara ya kazi.
 
Tapeli huyo anachokifanya anakuajili hakupi mkataba anakufanyisha kazi bila malipo kama wiki moja au mbili Kisha anasema hajaridhika na utendaji wako wa kazi anakufukuza ghafla bila haki zako anatafuta mwingine halafu malipo anakulipa anavyoona yeye Siyo laki tatu kama anavyosema.mimi nina ushahidi na kesi zake zipo wizara ya kazi
Aisee kumbe mambo ni mazito. Poleni manake hata huo mshahara anaotoa kwa hizo kazi anazotaka ni mdogo mno.
 
Tapeli huyo anachokifanya anakuajili hakupi mkataba anakufanyisha kazi bila malipo kama wiki moja au mbili Kisha anasema hajaridhika na utendaji wako wa kazi anakufukuza ghafla bila haki zako anatafuta mwingine halafu malipo anakulipa anavyoona yeye Siyo laki tatu kama anavyosema.mimi nina ushahidi na kesi zake zipo wizara ya kazi
Hiviiiii? Aiseee nimechat nao whatsapp meseji mbili nikaacha hata kujibu
 
Back
Top Bottom