Manala An Academician
Senior Member
- Oct 10, 2016
- 119
- 57
Wewe kila siku unatafuta graphics designer mpaka Leo haujampata? nadhani utakuwa na shida mahala
Tapeli huyo anachokifanya anakuajiri hakupi mkataba, anakufanyisha kazi bila malipo kama wiki moja au mbili Kisha anasema hajaridhika na utendaji wako wa kazi anakufukuza ghafla bila haki zako anatafuta mwingine halafu malipo anakulipa anavyoona yeye. Siyo laki tatu kama anavyosema, mimi nina ushahidi na kesi zake zipo wizara ya kazi.Wewe kila siku unatafuta graphics designer mpaka Leo haujampata? nadhani utakuwa na shida mahala
Aisee kumbe mambo ni mazito. Poleni manake hata huo mshahara anaotoa kwa hizo kazi anazotaka ni mdogo mno.Tapeli huyo anachokifanya anakuajili hakupi mkataba anakufanyisha kazi bila malipo kama wiki moja au mbili Kisha anasema hajaridhika na utendaji wako wa kazi anakufukuza ghafla bila haki zako anatafuta mwingine halafu malipo anakulipa anavyoona yeye Siyo laki tatu kama anavyosema.mimi nina ushahidi na kesi zake zipo wizara ya kazi
Hiviiiii? Aiseee nimechat nao whatsapp meseji mbili nikaacha hata kujibuTapeli huyo anachokifanya anakuajili hakupi mkataba anakufanyisha kazi bila malipo kama wiki moja au mbili Kisha anasema hajaridhika na utendaji wako wa kazi anakufukuza ghafla bila haki zako anatafuta mwingine halafu malipo anakulipa anavyoona yeye Siyo laki tatu kama anavyosema.mimi nina ushahidi na kesi zake zipo wizara ya kazi