Graphics introduction

Graphics introduction

graphics wide

Member
Joined
Jul 4, 2020
Posts
9
Reaction score
0
Habari zenu wakuu?

Jina langu haimaanishi najua kila kitu ila ni ndoto yangu kuwa a great grapher but nataka kuulza hivi kuanzisha photo studio ikiwemo kupata camera nzuri ya kuanzia kazi inagharimu shingapi?

Naomba msaada wenu wakuu.
 
Nimefungua uzi nikajua nitakuta madini kumbe mwenyewe hujui next time kichwa cha habari hakikisha kinasadifu yaliyomo ndani
 
Back
Top Bottom