graphics wide
Member
- Jul 4, 2020
- 9
- 0
Asante kwa mawazo yako, je unaweza kunambia camera inayofaa kuanzia photograph na bei yakeStudio
10m
Inategemea na unataka nini haswa kwenye picha/video zakoKaribuni kwenye kuchangia jamani.
Canon D700asante kwa mawazo yako, je unaweza kunambia camera inayofaa kuanzia photograph na bei yake
MusomaUko wapi
Sina hela ya kutosha ila ni wap naweza pata ya bei nafuu usedCanon D700
nenda zoomtanzania.comSina hela ya kutosha ila ni wap naweza pata ya bei nafuu used