Gration Mukoba achaguliwa kuwa Mwenyeiti mpya wa CHADEMA Kagera

Uchumi TV

Member
Joined
Apr 11, 2023
Posts
33
Reaction score
31
Rais wa Chama cha Walimu Mstaafu ndg Gration Mukoba amechaguliwa kuwa mwenyejkiti wa chadema mkoa wa Kagera ambapo amepata kura za ndiyo 58 na 5 za hapana.

Msimaizi wa uchaguzi ni John Mrema na Wenje

unaweza kutazama utangazaji wa matokeo hapa chini katika matngazo ambayo ni live
 
Kwa hiyo alishastaafu ualimu tayari?maana hawezi changanya siasa na kazi.

Huyu alikuwaga TUCTA kama sijakosea.Hiv ndiyo huyu kama sikosei ambaye wakati wake hakumualika Raisi wakati huo Kikwete kwente sherehe za may mosi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…