Gration na CWT.

Kayabwe

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2012
Posts
385
Reaction score
86
Mm nadhani tuamini Mkoba ameusaliti walimu,hata tamko hakuna hadi leo.Basi tunaomba kile chama kipya kitusaidie,tunakiunga mkono.
 
Kichwa wapi na miguu ndio nima ate aumekula mchapati point ipo magwepande dr ilimboka ndio umeandika nini?tuiuuf supu tama sana kama maharage kwa pilipili na chai mboga ya usiku chumvi na maji ybahari mwabajeshi amepotea keanye kikao cha jana na birthday yake kwenye kikao cha harusi

Mkuu thread yako haijaeleweka, haina kichwa wala miguu, jipange basi twende sawa
 

lol jf kiboko. hivi wenzangu hamjagoma mimi nimegoma leo nina siku ya 4 job siendi na wanafunzi wako tu hawaelewi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…