Gratuity

Mahundi Jr

Member
Joined
May 25, 2015
Posts
33
Reaction score
6
Ni baada ya muda gani mwajiri anatakiwa awe amemlipa mwajiriwa gratuity baada ya mkataba kuisha?
 
Minajua baada ya miaka miwili.
 
Gratuity utolewa kila mkataba unapoisha.. Kabla ya ku sign mkataba mwengine unapaswa kupewa kwanza Gratuity yako ya mkataba uliopita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…