Acha kudanganya wewe wa wapi, iphone like toy, android ndio dunia nyingine unapata kile unachokitaka uliza watu waliotumia simu zote Android ni mwisho wa matatizo yaani android unafanya kila kitu ambacho hauwezi kufanya na iphone.
Nimeipenda sasa kama Nikiwa Mwanza na naitaka kuicheck inakuaje? Bei ya mwisho ngapi kama utachukuwa zaidi ya moja na Je kuhusu Rangi hakuna zaidi ya white? Nijibu nitakupigia asubuhi
Acha kujifanya mjuaji wewe! Android ni OS (operating system) na wala sio Hardware, sasa wewe umeijuaje kwa kuona picha tu?
mkuu digitali mi nataka bbm curve 8530 siwez kupata kwenye store!