Well, yategema na kazi na nyadhfa yako. Mlinzi na mfagiaji apata kitu $80 kwa mwezi ilhali meneja awezakula $15000+ kwa mwezi. zingatia kua hatujahesabu tipsWafanya kazi wanalipwa mshahara shilingi ngapi hiko?
Shida ni kuwa Africa Mashariki si kubwa vile kwa hivyo nchi zenye bahari ni kidogo. Kwa hizi kidogo, nyingine kama somalia hazina kitu. Lakini Ukiweza pata picha ya ufuo Wa mataifa mengine Africa Mashariki, tupee tuone.Mbona hakuna beach za nchi nyingine zaidi ya Tanzania na Kenya?