Excactly eti hotel ipo Kenya inaitwa English point, WTF! Wakenya wanauhusudu sana uzunguKwa zanzibar pekee kenya haiwezi kumfikia maana ni level nyingine hotel za gari nyingi ila inaendana na hela unayolipia tofauti na kenya unatozwa hela nyingi hotel ya kawaida halafu hazina mvutio wa kiafrica ni pure western.
Kinachonifuraisha apa the residence kila kiboma kina swimming yake, yani very romantic ukilala kweny kitanda ukiamka unakiona icho apo, yaaan uunaweeza kulia bwahahaa
Lily palm resort - Watamu
Very nice!! Ntakuja apa,
Sawa wait niedtWekeni na rates