Great Knowledge - My Favorite "Lecturer" at Hyde Park Speakers Corner

Ndio vituko vya akina FaizaFoxy huko ulaya, wanavaa manguo na kufanana majini/ghosts halafu wakiongeleshwa wanaanza kudanganya na kulialia kwamba wamenyanyaswa. Mbona wasiende waishi kule kwa Waarabu na waache kung'eg'ania kwa wazungu.

Wewe kwenu wapi?
 
Nilikua bajikumbusha zamani tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…