Boli linatembea
Member
- Dec 21, 2022
- 66
- 167
Salaam Jamani,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza , kuna mambo ni mpaka nimeanza kuogopa, wiki 4 zilizopita Trump alimtania Canada Pm kwa kumwita Gavernor wa great state of Canada eti kwamba Canada iwe jimbo la 51 la USA.
Leo karudia tena kwamba Canada kua jimbo la 51 la USA ni idea nzur, mbaya zaidi nasikia kuna Wacanada wanaona wao kua party ya USA ni mzuka tu, sasa nimeanza kuogopa hasa ikizingatiwa Trump na Putin ni marafiki....vipi USA akimvamia Canada?
Hasa ikizingatiwa Canada ina utajiri mkubwa wa maliasili na ardhi, na je hz nch ya pili na ya tatu duniani zikiungana itakuwaje?
Naogopa sana yasije kua mambo ya crimea vs Russia hapa, naomba maoni yenu mimi nikiwa kama mpenda Amani Duniani.