Great thanks to Marcelin R Ndimbwa - DED Malinyi

Great thanks to Marcelin R Ndimbwa - DED Malinyi

Joined
Jul 19, 2016
Posts
9
Reaction score
5
Greet thanks to Mr Marcelin R Ndimbwa Mkurugenzi - Malinyi...

Mwanzo wa kuyathibitisha yaliyoandikwa na kuyajadiri juu ya mapinduzi ya kilimo Wilayani Malinyi umeanza Jana nikiwa na Comrade Muganyizi tulianza safari rasmi ya kuelekea Malinyi rasmi kwa kuwawakilisha kama wanamapokeo wa mapinduzi ya kilimo Malinyi.

As your chairman nitaendelea kuwa mkweli juu ya nchi yangu na mtiifu kwa serikali yetu. Mheshimiwa sana Raisi Magufuli ametufanya tujiskie raha kuwa wana CCM, ametufanya tusione haya kuvaa nguo zenye kuashiria kuwa sisi ni wana CCM hasa kwa hizi teuzi zake....

Mr. Marcelin R. Ndimbwa ametujali sana vijana wa CCM amekumbuka anakotoka, anajua kabisa kama sio CCM safi yeye asingeweza kuwa miongoni mwa wakurugenzi mahiri na wabunifu katika maendeleo hai yenye ishara ya kuonyesha Irani ya CCM inatekerezeka.

Mapokezi yake ni mazuri tunajivunia kuwa wanaccm zaidi tumejifunza kitu kutoka kwa DED Malinyi nadhani ni mwanafunzi wa misimamo ya Raisi Magufuli kwani katika Mpango wake wa mapinduzi ya kilimo Malinyi amewaangalia sana binadamu wote kwa usawa na bila kujali vyama vyao, dini na rangi zao ilimradi wawe ni wanamapokeo wa mapinduzi ya kilimo Malinyi the same to our President yeye ni raisi wa watu wote..

Ukitaka kummaliza adui yako mfanye awe rafiki yako.. DED Malinyi anakwenda kuumaliza kabisa upinzani Malinyi... Hongera sana DED, Asante kwa mapokezi mazuri, asante kwa ukarimu wako vijana tunakuahidi kushiriki na wewe katika kuibadirisha Malinyi kwa kupitia kilimo...

Mohamed Mchekwa
Mwenyekiti UVCCM - Tawi LA Mitandaoni....
 
Back
Top Bottom