'Penye miti hapana wajenzi' huu msemo wa mababu zetu ni valid wakati huu!? Naogopa mana naona unaukweli dhahiri kwenye taifa hili. Tuna kila kitu hapa nyumbani,ardhi,misitu,madini,maziwa na mito na bahari,mbuga za wanyama na vivutio vingine vya asili na kihistoria lakini wapi! Bado tuna aminishwa hili ni taifa changa na masikini! Tatizo ni wananchi au ccm,maana tusipigizane kelele wakati misemo yenye busara tunayo 'penye miti hapana wajenzi' au tuna tatizo jingine!? Nawakilisha Great Thinkers