Great thinker na killazzaaa wa JF

Hiyo haipo kwnye kiswahili,
siri mi na we ni lazima iwe siriazi

sho ni mi na we na sioni lazima ulete shazi

usoni mi na we na sioni kama uongo ni kazi

usione kama urafiki ni vyeti upate kazi

sioni urafiki wa mbuzi keti tumkune nazi

urafiki mkia wa mbuzi mfupi na nyeti wazi..

mi nimeiga kutoka kwa joh makini bana usipanic mkuu.. kumbe unanichoraa [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…