Great thinkers challenge(GTC)? karibu upambane

Babumawe

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2014
Posts
2,556
Reaction score
2,571
Habari za muda huu great thinkers.
Huu uzi naomba tufanye vitu vya kigreat thinking tuoneshe umwamba kwenye thinking capacity.

Kinachotakiwa hapa ni kitu kidogo tu ni either kuandika neno ama kutuma kapicha au kudisplay pattern yeyote au kufanya kitu chochote ambacho unahisi kipo katika lugha fulani ya kujificha ambayo inabidi utumie akili ya ziada ili uweze kutatua

Haya magreat thinkers wenzangu kwa pamoja tuoneshe umwamba wetu humu. Mimi naanza na kutuma hii picha, very simple picha but unahitaji uwe great thinker kweli narudia tena uwe great thinker kweli na utulie kweli ili uweze kuitafsiri
AYA KARIBUNI

IMG_20210127_103004.jpg

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
By me naamin kuwa mapenz ya vijna ni magum kutokan na kupanga mlima I mean kupitia changamoto nying lakin wazeee wanafurahia kwan wao ni kushuka
 
Kwa mtizamo wangu picha inamaana ya kwamba wazee tuwaheshimu maana wameona mengi,sisi tunayoyaona au kupitia wao wamepitia mambo hayo miaka mingi iliyopita wakiwa vijana kama sisi.
Ndo maana kwenye picha vijana wanaeenda kushangaa bahari wazee wenyewe wanarudi.
 
Mahusiano yamejengwa katika njia isiyo fahamika baina ya wote wawili, uvumilivu na kuaminiana Ndio kinga pekee ya kuyashinda madhaifu yenu, one day utasema yaliyo pita si ndwele tuna experience na mengi tugange ya mbele...
 
Mimi nina swali hili hapa.

Kuna mende watatu.

Mende hawa wamepandiana kwa kwenda juu, yaani kama mnara.

Mende wa chini kabisa anasema "Kuna mende wawili juu yangu"

Mende wa juu kabisa anasema "Kuna mende wawili chini yangu"

Mende wa katikati anasema "Hakuna mende yeyote juu yangu wala chini yangu"

Kwanini mende wa katikati anasema hivyo?

NB; Hili swali lilikua linaulizwa kutathmini kama mgonjwa wa akili aendelee kubaki hospitali au arudi uraiani.
 
Maisha ni sawa na kupanda mlima wakati unayaanza "Ujanani" ila ukiupanda mlima huo vizuri kwa ushirikiano na mkeo basi huko uzeeni mtaishi maisha mazuri na yenye furaha coz mtakua mmejijenga "Kushuka juu ya huo muinuko au kidaraja"

Picha pia inafundisha ushirikiano wa Mke na Mume wakati mgumu na wakati wafuraha wa maisha yenu kua kitu kimoja na kushirikiana kwenye shida na raha pamoja na kuvumiliana.
 
Buhahahah

Hiki kipande....naomba uombe radhi mapema kabla hujafungiwa na Wakuu....
 
Kwa mtizamo wangu picha inamaana ya kwamba wazee tuwaheshimu maana wameona mengi,sisi tunayoyaona au kupitia wao wamepitia mambo hayo miaka mingi iliyopita wakiwa vijana kama sisi.
Ndo maana kwenye picha vijana wanaeenda kushangaa bahari wazee wenyewe wanarudi.
Nakupa 20% umejaribu kiasi

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Habari za muda huu great thinkers.
Huu uzi naomba tufanye vitu vya kigreat thinking tuoneshe umwamba kwenye thinking capacity.

Kinachotakiwa hapa ni kitu kidogo tu ni either kuandika neno ama kutuma kapicha au kudisplay pattern yeyote au kufanya kitu chochote ambacho unahisi kipo katika lugha fulani ya kujificha ambayo inabidi utumie akili ya ziada ili uweze kutatua

Haya magreat thinkers wenzangu kwa pamoja tuoneshe umwamba wetu humu. Mimi naanza na kutuma hii picha, very simple picha but unahitaji uwe great thinker kweli narudia tena uwe great thinker kweli na utulie kweli ili uweze kuitafsiri
AYA KARIBUNI

View attachment 1687244

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app

Picha inaonyesha wale wapenzi vijana au wanandoa wanaelekea sasa kwenye maisha ya ndoa huku wazee wakitoka kwenye hayo maisha kusubiri kifo
 
Maisha ni sawa na kupanda mlima wakati unayaanza "Ujanani" ila ukiupanda mlima huo vizuri kwa ushirikiano na mkeo basi huko uzeeni mtaishi maisha mazuri na yenye furaha coz mtakua mmejijenga "Kushuka juu ya huo muinuko au kidaraja"

Picha pia inafundisha ushirikiano wa Mke na Mume wakati mgumu na wakati wafuraha wa maisha yenu kua kitu kimoja na kushirikiana kwenye shida na raha pamoja na kuvumiliana.
Umejitahidi nakupa 35% keep it up!!

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Katika mahusiano vijana tunahitaji upendo, amani pamoja uvumilivu ili kuweza kufikia umri wa hao wazee
 
Back
Top Bottom