Great thinkers!! From Minja sec ..

Great thinkers!! From Minja sec ..

Nikhil

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2013
Posts
361
Reaction score
120
Wakuu mambo vipi...
Naombeni msaada wenu kwa aliye na contact za minja sec iliyoko Mwanga kilimanjaro . Nashkuru sana wakuu....
 
Sina contact zao kwa msaada ni kuwa shule ipo wilayani mwanga mkoani kilimanjaro kijiji cha ugweno mtaa wa masumbeni,,ukipakia bus la kwenda ugweno pale mwanga linakufikisha hadi minja secondari getini kabisa maana ndo mwisho wa basi
 
Back
Top Bottom