Nikhil JF-Expert Member Joined Apr 16, 2013 Posts 361 Reaction score 120 Jul 27, 2013 #1 Wakuu mambo vipi... Naombeni msaada wenu kwa aliye na contact za minja sec iliyoko Mwanga kilimanjaro . Nashkuru sana wakuu....
Wakuu mambo vipi... Naombeni msaada wenu kwa aliye na contact za minja sec iliyoko Mwanga kilimanjaro . Nashkuru sana wakuu....
ProBook JF-Expert Member Joined Jan 13, 2012 Posts 559 Reaction score 264 Jul 28, 2013 #2 Sina contact zao kwa msaada ni kuwa shule ipo wilayani mwanga mkoani kilimanjaro kijiji cha ugweno mtaa wa masumbeni,,ukipakia bus la kwenda ugweno pale mwanga linakufikisha hadi minja secondari getini kabisa maana ndo mwisho wa basi
Sina contact zao kwa msaada ni kuwa shule ipo wilayani mwanga mkoani kilimanjaro kijiji cha ugweno mtaa wa masumbeni,,ukipakia bus la kwenda ugweno pale mwanga linakufikisha hadi minja secondari getini kabisa maana ndo mwisho wa basi
Nikhil JF-Expert Member Joined Apr 16, 2013 Posts 361 Reaction score 120 Jul 29, 2013 Thread starter #3 Ok poa