Tafsiri
Jambo la kwanza nje ya njia: Je, hii ni siasa?
Unaweka dau, kila kipande chake.; hakuwezi kuwa na siasa zaidi ya kile kinachojadiliwa na waraka huo wa semina.
Na kwa hiyo, nawauliza Great Thinkers wa JF, mmesoma waraka tangu ulipotoka Mei 13?
Ikiwa unayo, unaweza kushiriki maoni yako juu ya ulichochukua kutoka kwa hati?
Hata hivyo, hii ni hati ya kurasa 240; kwa hivyo inaweza kuchukua muda kabla ya kuchuja na kushirikiwa kwa wingi
Na unaweza kuwa unashangaa tayari ni nini hasa ninachofanya hapa, nikiandika juu ya hati bila kugusa yaliyomo! Sababu ni kwa muundo, sio kwa msingi.
Nenda kajipatie waraka huu mkubwa utakaoangaza mitazamo yako katika ulimwengu wa sasa wa "Akili Unde", a.k.a Akili Mnemba au Intelejensia ya Artificial na nafasi yake katika maisha ya mwanadamu.
BTW: Ikiwa kuna chochote, wacha tuthamini nguvu ya ubongo ambayo ilitumika kuunda hati hii.
JF imebaKi kuwa kundi kubwa la vijana wenye stress na misongo,
nothing here is relevant anymore
Sasa mkuu hiyo "Document" ipo wapi?
Huyu bwana kaamua kutufumba sisi la nne B. π
Kaisahau Vatican....
Encyclical Letter of His Holiness Leo XIV Magnifica Humanitas (15 May 2026)
ENCYCLICAL LETTER MAGNIFICA HUMANITAS OF HIS HOLINESS POPE LEO XIV ON SAFEGUARDING THE HUMAN PERSON IN THE TIME OF ARTIFICIAL INTELLIGENCE [ Multimedia ] ___________________________www.vatican.va
Kaandika kitu kikubwa sana hebu tujipe muda tutajua tuSasa mkuu hiyo "Document" ipo wapi?
Huyu bwana kaamua kutufumba sisi la nne B. π
Hii.Sasa mkuu hiyo "Document" ipo wapi?
Huyu bwana kaamua kutufumba sisi la nne B. π
Kaandika kitu kikubwa sana hebu tujipe muda tutajua tu
Hakuna GT yeyote anayetishwa na hiyo Vatican,Kaisahau Vatican....
Encyclical Letter of His Holiness Leo XIV Magnifica Humanitas (15 May 2026)
ENCYCLICAL LETTER MAGNIFICA HUMANITAS OF HIS HOLINESS POPE LEO XIV ON SAFEGUARDING THE HUMAN PERSON IN THE TIME OF ARTIFICIAL INTELLIGENCE [ Multimedia ] ___________________________www.vatican.va
Kama nimekuelewa....JF imebaKi kuwa kundi kubwa la vijana wenye stress na misongo,
nothing here is relevant anymore
Hakuna GT yeyote anayetishwa na hiyo Vatican,
kilichoandikwa ndani ya kurasa hizo ndicho chenye thamani kwa kila binaadam bila kujali imani yake iko wapi.
Maana yangu ya kuleta mada hii hapa ni uzito uliobebwa na yaliyozungumzwa katika kurasa hizo
Natambua vizuri mivutano ya kiimani iliyomo katika jamii zetu, na nisingeweza kuwa sehemu ya kuchochea mivutano hiyo.
Kwa hiyo nilipima kwa makini kabisa kuhusu hilo kabla ya kuamua kuweka taarifa hiyo hapa kama mada.
Ukiutazama wakala huo kwa misingi ya kiiman kwa maana ya ulipoasisiwai; utakuwa unatia mashaka juu ya U-GT wako na maana halisi inayoelezwa na maneno hayo mawili ya "Great Thinker"
Waraka huo ulivyo andaliwa unabeba maana sahihi ya hali ya U-GT; na ndiyo maana nikapata msukumo wa kudadisi kwenye jukwaa hili..
Umekwisha wekwa hapo juu; kwa hiyo nenda kaonyeshe uGT wako katika hayo yaliyoelezwa ndani ya waraka.
Umejuaje nimepanick?ππππ. Mbona umepanick? πππ
Nani kasema unatishwa na Vatican?
" Each generation inherits the task of shaping its own era, of guiding history tobecome a place where the dignity of every person is safeguarded, justice is promoted
and fraternity is made possible.."
Hiyo hapo ndiyo kwenye shida na ile mipango yao ya gizani ilipo!