Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jibu 1Magazijuto
Bashite kasema jibu 9Bila shaka wewe ni bashite
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka kwa sauti kiasi kila mtu ananishangaa kulikoniBashite kasema jibu 9
Mimi jibu langu 200,000
Obviously hatuna undugu hapo
Eti mkuu kwa majibu ya 200,000 hadi 9 tunaweza kuwa hata na undugu wa mbali mbali na huyu Daudi Bashite?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka kwa sauti kiasi kila mtu ananishangaa kulikoni
Hata kale kajiudugu ka kulazimisha hakapo hapo- hahahahahahahaaaaaaaaaa, umeniacha hoi kweli kweliEti mkuu kwa majibu ya 200,000 hadi 9 tunaweza kuwa hata na undugu wa mbali mbali na huyu Daudi Bashite?