Great Thinkers hawezi shindwa swali hili hivyo thibitisha uwepo wako JF, toa jibu

Bashite kasema jibu 9
Mimi jibu langu 200,000

Obviously hatuna undugu hapo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka kwa sauti kiasi kila mtu ananishangaa kulikoni
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka kwa sauti kiasi kila mtu ananishangaa kulikoni
Eti mkuu kwa majibu ya 200,000 hadi 9 tunaweza kuwa hata na undugu wa mbali mbali na huyu Daudi Bashite?
 
Eti mkuu kwa majibu ya 200,000 hadi 9 tunaweza kuwa hata na undugu wa mbali mbali na huyu Daudi Bashite?
Hata kale kajiudugu ka kulazimisha hakapo hapo- hahahahahahahaaaaaaaaaa, umeniacha hoi kweli kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…