Great Thinkers hawezi shindwa swali hili hivyo thibitisha uwepo wako JF, toa jibu

Bashite kasema jibu 9
Mimi jibu langu 200,000

Obviously hatuna undugu hapo

Duh 6 ukiigawa na integer unapataje 200,000?
Naomba ukapime DNA na bashite huenda ni kka yako
Eti mkuu kwa majibu ya 200,000 hadi 9 tunaweza kuwa hata na undugu wa mbali mbali na huyu Daudi Bashite?
 
ni swali la kitoto kabisa,hapo ni kuapply MAGAZIJUTO!!

Jibu ni 1!
 
Duh 6 ukiigawa na integer unapataje 200,000?
Naomba ukapime DNA na bashite huenda ni kka yako
Duuh sikujua ikiwa na mimi nimekufa, ninachart na deadbody?by the way ulikuwa COED au INFO?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…