Mzee baba hapo umetumia kweli BODMAS?6÷2(1+2)=
6÷2+4=
3+4=7
Kila la kheri
AminaKila la kheri
kubali tu huu ugonjwa wa taifani swali la kitoto kabisa,hapo ni kuapply MAGAZIJUTO!!
Jibu ni 1!
Kama ni great thinker tupe jibu tukupe alama ya vema au kukukosoa.Leo nimeamini kuwa hesabu ni ugonjwa wa taifa
jibu halisi ni hili6÷2(1+2)=
6÷2+4=
3+4=7
Nani kakuambia ufungue Mabano Mkuu...!!MAGAZIJUTO
FROM 6÷2(1+2)
Anza na mabano
6÷2(3)
Then fungua hayo mabano
2(3) = 2x3 = 6
So tutapata
6÷6=1
Jibu ni 1.
[emoji23] Mkuu usiniambie upo serious?Nani kakuambia ufungue Mabano Mkuu...!!
Mbona unajiamulia mambo...?
Niko sirias Mkuu...!![emoji23] Mkuu usiniambie upo serious?