Kuna mwanamke mmoja mujiriwa mahali fulani bosi wake amekuwa akimtaka kinguvu. Bibie baada ya kuchoshwa na kero hizo akamshitaki kwa kitengo husika, human capital, uchunguzi ukafanyika na kubainika ni kweli, jamaa akapangwa mbali na bibie. Haieleweki ni nini kilikuja kutokea ila baada ya muda jamaa akarudishwa tena na kuwekwa kitengo cha yule bibie kama boss wake tena!!! Jamaa akaendelea na usumbufu wake na vitisho kibao kwa yule mwanamke pamoja na kumtolea report na recommendation mbaya juu ya utendaji wake. Bibie akachukuliwa hatua za kinidhamu kwa makosa ambayo hakuyatenda (bali kutokana na report feki za yule boss aliyekwisha wahi thibitika kuwa na ufataki kwa huyo dada).
Sasa waungwana, mnamshauri nini huyu mwanadada, mahusiano na boss hataki, human capital imefumbia macho vitendo vya huyo bwana raia wa kigeni kisa ni 'expertriate' na ati anamchango mkubwa kiutendaji!!
Nina amini wengi wameshakutwa na mkasa walau unaofanana na huu, either directly-wenyewe au indirectly-wake zao, dada zao, watoto wao, mama zao, wadogoz zao.
Ushaurizii tafadhali!!!