kula kwa tindo
JF-Expert Member
- Nov 14, 2011
- 1,330
- 324
Wana JF.. Salam..
Kwanza natoa pole kwa wana JF woote, wanaoumiza vichwa humu kuwaelimisha wafia chama CCM..
Nije kwenye MADA.
Kuna jambo ambalo limekua linapotoshwa na CCM kuhusu suala la Serikali Tatu.(3)
Ukweli ni kwamba CCM iache kuwazuzua Watanzania juu ya Suala la Serikali Tatu, (3) Kisa gharama kuziendesha,na zitavunja Muungano,huo uongo na ni usanii tu..
Ukweli ni kwamba Serikali mbili (Serikali ya Mapinduzi Zanzibar SMZ na Serikali ya Tanzania Bara) Hamna,ila kuna Serikali Tatu(3) ndani ya kivuli cha Serikali Mbili (2)
a. Kuna Sikukuu ya Mapinduzi Zanzibar.
b. Kuna Sikukuu ya Muungano. (Tanganyika na Zanzibar)
c. Kuna Sikukuu ya Uhuru wa Tanganyika.
Utata uko hapa.
Sikukuu ya Mapinduzi Zanzibar, Amiri jeshi ni Rais wa Serikaliya Mapinduzi Zanzibar.
Sikukuu ya Muungano wa Tanzania, Amiri jeshi mkuu ni Rais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania..
Sikukuu ya Uhuru wa Tanganyika, Amiri jeshi mkuu ni Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania.
Ukiangalia hapo utaona,kuna Sikukuu tatu(3)Kubwa za kitaifa katika Taifa moja (1)
Kilichopo hapo,ni Usanii tu kwa Watanzania kutuzuga kua kuna Serikali mbili (2) wakati wakiadhimisha Uhuru wa Serikali ya tatu(3) ambayo ni Tanganyika iliyofichwa kwa maksudi..
Kwa namna nyingine Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ndiye Rais wa Tanganyika.
Angalizo..
Rasimu imetoa pendekezo laTanzania iwe na Katiba yenye Serikali Tatu(3) Tutambue kua hii Rasimu ni ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano,
Swali..
Iko wapi Rasimu ya Katiba ya Tanganyika?
Serikali ya Tanganyika itaendesha na Katiba Gani?
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,wanayo Katiba inayo waongoza iweje Tanganyika iongozwe na Katiba ya Muungano?