Karibu ila hiyo title ulipoandika "greatin" ulitaka kumaanisha nini. Kama ulimaanisha SALAM basi neno lipaswa kuwa GREETING, otherwise GREATIN as a term has always been non existent whatsoever! Mods, saidia kuedit hiyo kitu. Ni majuzi tu Wakenya walitucheka sana kwa matatizo kama hayo ya mtu mmoja. Otherwise TUMIENI KISWAHILI TU!