hellow ...,am a law student studying at open university.am glad to be part of u and am sure u will help me clear my doubts in the eyes of the law....baba yangu alioa mtoto wa kigogo mmoja hapa nchini lakini mama yangu huyo wa kambo hataki tupate haki zetu kabisa mana anamuonga hakimu...na case ina miaka kumi sasa.je naweza kumuona nani akanisaidia mana case imepoteza muelekeo.....