Kiukweli necta cjawaelewa kiukweli na nimeona hawana nia njema na watoto we2 walioko shule ze2 za kata.Kwakua naona wameshindwa kutambambua utofaut wa mtoto yule alyepata
gred E na yule alyepata gred F, na kuamua wote kuwaweka wote katka kund moja!. Jaman m2 mwenye gred E ya 26 amelinganishwa na m2 alyepata g red F ya3!!!!? bnafsi cjapenda kwani hawa wa2 wako tofaut kabsaa!.Haya n mawazo yangu vp nyie wana JF?