Wanajf nimeshangazwa sana na utaratibu wa shule ya Green Accres ya hapa Dsm kwa kitendo chao cha kuwaagiza watoto wanaosoma pale tena wanakaa boarding kwenda na pesa za tuition, wakati huo ada yao ni zaidi ya 1m.
Sasa kuna haja gani ya kulipa ada kubwa kiasi hicho halafu mtoto anaenda kulipia tena tuition ndani ya shule hiyo hiyo na walimu hao hao?
Nafanya utaratibu wa kumwondoa mwanangu pale akasome mahali pengine ambapo hapana ubabaishaji kama wa Green Accres schools.
Inauma sana!