Green Accres Schools ni kama Shule za Kata

Kikuyumbo

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2014
Posts
391
Reaction score
93
Wanajf nimeshangazwa sana na utaratibu wa shule ya Green Accres ya hapa Dsm kwa kitendo chao cha kuwaagiza watoto wanaosoma pale tena wanakaa boarding kwenda na pesa za tuition, wakati huo ada yao ni zaidi ya 1m.

Sasa kuna haja gani ya kulipa ada kubwa kiasi hicho halafu mtoto anaenda kulipia tena tuition ndani ya shule hiyo hiyo na walimu hao hao?

Nafanya utaratibu wa kumwondoa mwanangu pale akasome mahali pengine ambapo hapana ubabaishaji kama wa Green Accres schools.
Inauma sana!
 
hizi shule ni za yule diwani wetu wa magomeni anayeitwa Julian Bujugo ni wezi wezi tu
 
na wewe unamatatizo, ulifikiriaje kumpeleka mtoto green acres? matokeo pale huwa kuna zero za kumwaga, watoto pale wajifunza mapenzi tu, wa kike wanavaa skirt fupi AIBU , niliwahi kwenda pale mara kadhaa wakati demu wangu akisoma pale. skirt zao zinaishia kwenye magoti alafu boksa, wakikaa mapaja nje nje, yaani ni fulu kutegana.

nywele zenyewe wanapaka dawa. hiyoo siyo shule, bali ni mtambo wa kufyatulia division zero
 

green accres ilikua zamani co sasa hv.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…