pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Huu ndio mtaji wao mkuu Gentamycine, ngumu kupata watu wanaojitambua ndio maana wako na hawa "panya road".Na nyie CCM Taifa ( hasa Makao Makuu ) hebu anzeni Kuisuka upya hii Youth Wing yenu kwani imejaa Vijana Wapumbavu, Wanafiki, Katili, Wafitini, wapenda Majungu na wanaongojea tu Teuzi ila Vichwani mwao hawana Mikakati ya Kukusaidia Chama Kimaendeleo na Kiteknolojia kama ilivyo vya 'Youth Wings' za vyama vingine Vikubwa duniani ambapo 85% ya Watu ( Vijana ) walioko huko ni Think Tanks ( Rationals ) hasa.
Kama kuna ukweli basi hao ni mbwa tu wala usihangaike nao. Hangaika na anayelisha na kuwafuga.UVCCM kama kuna Kikundi ambacho Kitawachafua na Kimewachafua ni hiki cha Ulinzi wenu Kiitwacho Green Guards.
Nimesoma leo katika Moja ya Gazeti kuwa Watu wa UVCCM kupitia hiki Kikosi chenu kilichojaa Wapumbavu Watupu kiitwacho Green Guards kilikuwa kimepanga Kumteka na Kumdhuru Mtangazaji wa Wasafi FM Charles William kutokana na kile kinachosemekana ni Kukerwa na Ukosoaji wake wa Kimantiki Kwao.
Leo hii Mimi GENTAMYCINE nimepata Jibu la Maswali yangu mengi kuwa ni nani huko nyuma alikuwa Akiteka na hadi Kudhuru Watu hadi wale waliopotea mazima Kiuhai na tayari nimeshawajua hivyo kama mwana CCM Kiushabiki ( ila bado siyo Mwanachama ) napanga kuwaombea Laana mbaya, kali na takatifu kwa Mwenyezi Mungu ili iwe Fundisho.
Nyie UVCCM ni nani Tanzania hii na hapa duniani Msikosolewe? Mngekuwa na Akili mngeshukuru kwa Kukosolewa Kwenu huko kwani kunawasaidia na Kuwajenga zaidi Kiutendaji tofauti na ilivyo na mlivyo sasa.
Na nyie CCM Taifa ( hasa Makao Makuu ) hebu anzeni Kuisuka upya hii Youth Wing yenu kwani imejaa Vijana Wapumbavu, Wanafiki, Katili, Wafitini, wapenda Majungu na wanaongojea tu Teuzi ila Vichwani mwao hawana Mikakati ya Kukusaidia Chama Kimaendeleo na Kiteknolojia kama ilivyo vya 'Youth Wings' za vyama vingine Vikubwa duniani ambapo 85% ya Watu ( Vijana ) walioko huko ni Think Tanks ( Rationals ) hasa.
Haya someni na huu Uzi wangu GENTAMYCINE hapa JamiiForums leo kisha mkimaliza nami nikalieni Vikao ili Mniteke sawa?
Ombi langu tu Kwenu mkikubaliana Kuniteka hakikisheni Kwanza hao Green Guards mtakaowatuma Kwangu wawe wana Akili Kubwa kisha waambieni kabla ya kuja Kwangu wawe wameshaaga Majumbani mwao na Kugawa Urithi kwa Watoto wao na wawaambie ikitokea Wamekufa wangependelea Wakazikwe wapi sawa?
Nawachana hivi ili mbadilike sawa?
Yataishaje Pascal wakati mwasisi wake aliwaaminisha kuwa Hiyo ndio Njia sahihi ya kudeal na wakosoaji na wengine wajifunze badala ya wao wenyewe kujisahihisha through huo ukosoaji! Ni Muda mrefu itachukua kurudi kwenye kujenga hoja badala ya kushambulia hoja! JKDuh...!, kwani mambo haya ya kutekana bado yapo?, si yaliwishwa na naniniliu?.
P
uchaguzi wa ndani ya chama.rushwa tupuHadi Katibu Mkuu wao UVCCM kaomba Radhi. Na kilichofanya hadi Watekaji Kushtukiwa ni baadhi ya wana CCM Taifa na Waandamizi UVCCM Kukerwa na Mpango huu ( huo ) na Kumtaarifu aliyekuwa anaviziwa Kutekwa.
Duh...!, kwani mambo haya ya kutekana bado yapo?, si yaliwishwa na naniniliu?.
P
Hii ndio hatua waliyofikia ccm hivi sasa, na wenyewe wanajisifia huo uhuni kuwa ndio uimara wa chama!..mauaji ya kimbari ya Rwanda yalifanywa na Interahamwe ambao walikuwa vijana wa chama tawala kama walivyo Uv-Ccm.
..chama tawala kikikosa sera na muelekeo na kikishindwa kutatua kero za wananchi, ili kiendelee kuwepo madarakani, huanza kutumia propaganda, vitisho, na mabavu.
Rwanda hapa imeingiaje labda Mkuu?..mauaji ya kimbari ya Rwanda yalifanywa na Interahamwe ambao walikuwa vijana wa chama tawala kama walivyo Uv-Ccm.
..chama tawala kikikosa sera na muelekeo na kikishindwa kutatua kero za wananchi, ili kiendelee kuwepo madarakani, huanza kutumia propaganda, vitisho, na mabavu.
Rwanda hapa imeingiaje labda Mkuu?
Green guards are a disaster for the nation that should be immediately eliminated to restore tranquility
Vijana wa Uvccm wanajiona hii Nchi ni yao huyu ni Katibu wa Uvccm TemekeUVCCM kama kuna Kikundi ambacho Kitawachafua na Kimewachafua ni hiki cha Ulinzi wenu Kiitwacho Green Guards.
Nimesoma leo katika Moja ya Gazeti kuwa Watu wa UVCCM kupitia hiki Kikosi chenu kilichojaa Wapumbavu Watupu kiitwacho Green Guards kilikuwa kimepanga Kumteka na Kumdhuru Mtangazaji wa Wasafi FM Charles William kutokana na kile kinachosemekana ni Kukerwa na Ukosoaji wake wa Kimantiki Kwao.
Leo hii Mimi GENTAMYCINE nimepata Jibu la Maswali yangu mengi kuwa ni nani huko nyuma alikuwa Akiteka na hadi Kudhuru Watu hadi wale waliopotea mazima Kiuhai na tayari nimeshawajua hivyo kama mwana CCM Kiushabiki ( ila bado siyo Mwanachama ) napanga kuwaombea Laana mbaya, kali na takatifu kwa Mwenyezi Mungu ili iwe Fundisho.
Nyie UVCCM ni nani Tanzania hii na hapa duniani Msikosolewe? Mngekuwa na Akili mngeshukuru kwa Kukosolewa Kwenu huko kwani kunawasaidia na Kuwajenga zaidi Kiutendaji tofauti na ilivyo na mlivyo sasa.
Na nyie CCM Taifa ( hasa Makao Makuu ) hebu anzeni Kuisuka upya hii Youth Wing yenu kwani imejaa Vijana Wapumbavu, Wanafiki, Katili, Wafitini, wapenda Majungu na wanaongojea tu Teuzi ila Vichwani mwao hawana Mikakati ya Kukusaidia Chama Kimaendeleo na Kiteknolojia kama ilivyo vya 'Youth Wings' za vyama vingine Vikubwa duniani ambapo 85% ya Watu ( Vijana ) walioko huko ni Think Tanks ( Rationals ) hasa.
Haya someni na huu Uzi wangu GENTAMYCINE hapa JamiiForums leo kisha mkimaliza nami nikalieni Vikao ili Mniteke sawa?
Ombi langu tu Kwenu mkikubaliana Kuniteka hakikisheni Kwanza hao Green Guards mtakaowatuma Kwangu wawe wana Akili Kubwa kisha waambieni kabla ya kuja Kwangu wawe wameshaaga Majumbani mwao na Kugawa Urithi kwa Watoto wao na wawaambie ikitokea Wamekufa wangependelea Wakazikwe wapi sawa?
Nawachana hivi ili mbadilike sawa?
Inawezekana tatizo la 'naniliu' lilikuwa kuwafumbia macho, lakini watekaji bado wapo.Duh...!, kwani mambo haya ya kutekana bado yapo?, si yaliwishwa na naniniliu?.
P
Kwakuwa huna Akili kabisa kama Wao.Napenda sana Vijana Katili.
Good!
Mbona unawatukana wenzako?Nimesoma leo katika Moja ya Gazeti kuwa Watu wa UVCCM kupitia hiki Kikosi chenu kilichojaa Wapumbavu Watupu kiitwacho Green Guards kilikuwa kimepanga Kumteka na Kumdhuru Mtangazaji wa Wasafi FM Charles William kutokana na kile kinachosemekana ni Kukerwa na Ukosoaji wake wa Kimantiki Kwao.
Na wewe ulivyowataja hapa jiangalie wasikuteke. Nasikia wana nguvu sana.UVCCM kama kuna Kikundi ambacho Kitawachafua na Kimewachafua ni hiki cha Ulinzi wenu Kiitwacho Green Guards.