Green Park Bus Terminal

Kindly hide ur poverty...we are building BRT more than 20 stations with special dedicated concrete roads..unafikiri tunashindwa weka hiyo screen hapo..acha ujinga mkuu.
Answer the question and stop diversion tactics. Show us the screen, this has nothing to do with BRT. Acha povu.
 
Jibu swali...unafikiri huo utopolo mlioweka hapo tunashindwa? Hivyo vituo kwenu bado ni. Ndoto
Mbona unashindwa mjadala rahisi hivi bradhee. 🤣 🤣 🤣 🤣 Nimekuuliza simple question, nionyeshe screen kama hiyo kwa hicho kituo cha Dar. Kama haipo, sema haipo.

Ndio mmeshindwa. Hizo vituo zenu ovyo sana. Zinakaa county markets hapa Kenya. Hata viti hamna, mahala pa walemavu hamna. Ni mabati tuu juu ya vyuma. A 2021 bus stage is supposed to be modern with a screen announcing vehicles arrivals, loading and time of departure - kitu ambacho hamna. Endeleeni na huo upuzi wenu wa 1900s.
 
Utakua na stress wewe si bure..
 
Hide your poverty ...kuwaweka watu Chini ya plastick..ni aibu sana..mnajenga vitu ambavyo ata kwa level ya halmashauri tu ni lowgrade
Haya, tumeskia, tuonyeshe screen sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…