TheThreatTr
JF-Expert Member
- Mar 20, 2015
- 339
- 13
- Thread starter
-
- #21
Nimeikata sehemu ya chini ya post yako kwa kuwa iko kimipasho zaidi.
Nilishakwambia mwanzo kwamba wanufaika wa mambo haya ndio haohao unaowaegemea wewe kwenye tafiti zao,nikuuliza utafiti huo umefanywa na nani tutarudi kulekule kama nilivyokueleza mwanzo.
Mfano hapo juu,unazungumzia FDA,nilishakwambia hili pia,unarudia tena.Pia unawajua wamiliki wa Mayo Clinic wewe?Yaani ndugu yangu una knowldge nyepesi sana,jitahidi kidogo kutoka nje ya system utajua mengi sana.Hujui hata kwa nini hiyo vitamin C haijawa proven na FDA,wewe unachojua ni kwamba haijawa proven kwasababu ulizoambiwa,je,unajua kwamba watu wanaotumia ARVs hufa kwa side effects za ARVs pekee na si HIV,na bado ARVs zimekuwa proven kutumika hadi leo hii?Kama utazungumzia side effects ninaweza kukutajia rundo la dawa zinazoua,sio tu side effect,bali zinaua.Hiyo vitamin C haiko hivyo kama hao miungu wako wanavyosema.
Tafuta kwenye mitandao utajua sababu halisi kwanini vitamin C imekuwa supressed.Nakurahisishia,mfuatilie Dr.Thomas Levy hapa chini akielezea kwanini vitamin C imekuwa supressed.
https://www.youtube.com/watch?v=z1kD3BolXnE
Pia kuna madaktari wengi nje ya mainstream wanatumia hiyo vitamin C kutibu cancer in real life,sio nadharia.Mfano mfuatilie Dr.Leonard Coldwell.Najua ni ngumu,lakini jitahidi kidogo kwenye nje ya system utajua tu.
Pia fahamu kwamba kuthibitisha tafiti zilizofanywa na wengine nao ni utafiti pia.Kwa mfano kama mtu akikwambia kwamba Baking soda, blackstrap molases na wheatgrass juice vinatibu cancer na wewe ukajaribu na ukafanikiwa kutibu cancer,je,kuna kikubwa zaidi ya hicho.Wewe ukisikia utafiti basi akili yako yote imejikita katika gates foundations and the like.Kwanza hujui hata hao gates foundation kama wanakuathiri hata wewe katika maisha yako,unachojua ni kwamba wanatoa fund kwenye tafiti tu.
''Uvimbe wa kansa sio kansa,bali ni dalili ya kansa",ukimuuliza mtaalam yeyote wa pale ORCI atakwambia kwamba uvimbe wa kansa ndio kansa yenyewe,kama huamini nenda kaulize wewe mwenyewe,huu pia ni utafiti.Na hivi ndivyo walivyofundishwa,na wale waliotoa mafunzo haya wana maana kubwa sana,na ndio maana ninyi mnaiona kansa kama ni ugonjwa ambao ni complicated sana wakati si hivyo.Ndio maana mnaelekeza mionzi kwenye uvimbe mkidhani kwamba ndio kansa yenyewe,ndio maana mnafanya upasuaji kuondoa uvimbe kwa kuwa mnadhani kwamba uvimbe ndio kansa.Ukija huku kwetu utajua siri ya kansa,ukishajua utajicheeka sana.
Kansa ni ugonjwa rahisi sana kuutibu kuliko hata malaria,ni proper nutrition tu,kwisha kazi.Sumu za chemo,upasuaji na radiation huondoa dalili tu,kansa inabaki palepale,ndio maana kansa hurudi tena baada ya mgonjwa kupata nafuu kwa muda fulani.
Pole kwa majukumu yako ya kila siku,......Kaka yangu hongera sana kwa kazi unayofanya na muda unaotumia kuelimisha jamii