P ProMagufuli JF-Expert Member Joined Apr 6, 2021 Posts 253 Reaction score 270 Dec 25, 2021 #1 Habari zenu wapendwa watumiaji wa jamii forum. Nipende kuwatakieni nyote heri ya siku ya kuzaliwa kwa Masihi (Christmas) na heri ya mwaka mpya 2022. Ibada njema
Habari zenu wapendwa watumiaji wa jamii forum. Nipende kuwatakieni nyote heri ya siku ya kuzaliwa kwa Masihi (Christmas) na heri ya mwaka mpya 2022. Ibada njema
C canular JF-Expert Member Joined Jan 7, 2018 Posts 889 Reaction score 874 Dec 25, 2021 #2 ProMagufuli said: Habari zenu wapendwa watumiaji wa jamii forum. Nipende kuwatakieni nyote heri ya siku ya kuzaliwa kwa Masihi (Christmas) na heri ya mwaka mpya 2022. Ibada njema Click to expand... Kwako pia
ProMagufuli said: Habari zenu wapendwa watumiaji wa jamii forum. Nipende kuwatakieni nyote heri ya siku ya kuzaliwa kwa Masihi (Christmas) na heri ya mwaka mpya 2022. Ibada njema Click to expand... Kwako pia
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Dec 25, 2021 #3 Nawatakia wana Jamii Forum wote Heri ya Krismas. Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Mayunga234 JF-Expert Member Joined Feb 17, 2017 Posts 1,725 Reaction score 1,995 Dec 25, 2021 #4 Napenda kuwatakia Merry Christmas and Happy New year Nisiwe mchoyo Nawakaribisha sana Mlioko Dar especial Kigamboni karibuni sana
Napenda kuwatakia Merry Christmas and Happy New year Nisiwe mchoyo Nawakaribisha sana Mlioko Dar especial Kigamboni karibuni sana
Morning_star JF-Expert Member Joined Apr 21, 2018 Posts 6,042 Reaction score 17,320 Dec 25, 2021 #5 Asante! Merry xmass !
I IBONELO Member Joined Feb 21, 2014 Posts 47 Reaction score 51 Dec 25, 2021 #6 Amina wapendwa Muumba Wetu Awabariki Sikukuu hii iwe njema kwenu
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Dec 25, 2021 #7 Nawe pia uwe na sikukuu njema...
P ProMagufuli JF-Expert Member Joined Apr 6, 2021 Posts 253 Reaction score 270 Jan 1, 2022 Thread starter #8 Happy new year guys
Kasomi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2014 Posts 11,030 Reaction score 20,391 Jan 1, 2022 #9 2@22 heri ya Mwaka 2💗👭