Greetings!

Greetings!

Mwlsamwel

Member
Joined
Dec 13, 2017
Posts
76
Reaction score
75
Hi everyone,

My name is Mwlsamwel, and I'm an American who lived in Tanzania from 2014-2016. I wanted to introduce myself here, because people in this thread were asking me information about my origins. I hope I am welcome here, because I love the Swahili language and culture.

I will now attempt to translate my above message into Swahili:

Jina langu ni Mwlsamwel, na mimi ni Mmarekani aliyeishi Tanzania tangu 2014 mpaka 2016. Nilitaka kujitambulisha hapa, kwa sababu watu kwenye uzi huu walikuwa wananiuliza kuhusu asili yangu. Natumaini ninakaribishwa hapa, kwa sababu ninapenda sana lugha ya kiswhaili na utamaduni wake.

Asante sana.
 
Acha ulongo wako! Wewe si mwakidegembasi wa ludilo? Mbona unatuchanganya?
 
Mwalimu Samuel unafundisha shule gani? Najua unafundisha English/kiswahili
 
Hapana, nimefundisha sayansi na hesabu tu. Lakini ninatamani kufundisha lugha siku moja. Kwa saa hizi niko kati ya mashule... yani, ninatafuta kazi.

Acha ulongo wako! Wewe si mwakidegembasi wa ludilo? Mbona unatuchanganya?
Nikupe ushahidi gani?
 
Hapana, nimefundisha sayansi na hesabu tu. Lakini ninatamani kufundisha lugha siku moja. Kwa saa hizi niko kati ya mashule... yani, ninatafuta kazi.
Unatafuta kazi marekani au tanzania
 
Hi everyone,

My name is Mwlsamwel, and I'm an American who lived in Tanzania from 2014-2016. I wanted to introduce myself here, because people in this thread were asking me information about my origins. I hope I am welcome here, because I love the Swahili language and culture.

I will now attempt to translate my above message into Swahili:

Jina langu ni Mwlsamwel, na mimi ni Mmarekani aliyeishi Tanzania tangu 2014 mpaka 2016. Nilitaka kujitambulisha hapa, kwa sababu watu kwenye uzi huu walikuwa wananiuliza kuhusu asili yangu. Natumaini ninakaribishwa hapa, kwa sababu ninapenda sana lugha ya kiswhaili na utamaduni wake.

Asante sana.
kiingereza hIcho siyo cha mmarekani, acha fix. UPIGWE BAN KWA UONGO
 
Haya tena wabongo tumeanza kupatakataa nyumbani
 
Moja tu, shule ya sekondari katika kijiji fulani cha kata fulani ya wilaya fulani ya mkoa fulani wa nchi fulani, nchi iliyo Tanzania.
Hii gia uliyoingia nayo jf kuwa we ni mmarekani ili wanawake wakoshobokee naona inaelekea kubuma
 
Nimejitambulisha kama mmarekani bila sababu yo yote ila kwa ajili ya ukweli.
 
Hi everyone,

My name is Mwlsamwel, and I'm an American who lived in Tanzania from 2014-2016. I wanted to introduce myself here, because people in this thread were asking me information about my origins. I hope I am welcome here, because I love the Swahili language and culture.

I will now attempt to translate my above message into Swahili:

Jina langu ni Mwlsamwel, na mimi ni Mmarekani aliyeishi Tanzania tangu 2014 mpaka 2016. Nilitaka kujitambulisha hapa, kwa sababu watu kwenye uzi huu walikuwa wananiuliza kuhusu asili yangu. Natumaini ninakaribishwa hapa, kwa sababu ninapenda sana lugha ya kiswhaili na utamaduni wake.

Asante sana.

Good to have this thread as a language straightening forum. For me, i see it will be much more profitable if you will also appreciate that America is not where English originated. There is a say that English was born in England, reformed in America, misunderstood in Africa and died in Asia.

In Tanzanian, English speakers use Queen's English and not American. When we are learning here, better we learn with British English as our bench mark.

I stand for corrections and no office to anyone.
 
Back
Top Bottom